GZGenZ GamesMWANZO / UWANJA
◈
MUONEKANO WAKO

Chagua unavyopenda.

Rangi zinahifadhiwa kwenye kifaa hiki. Kwenye online, rangi yako itafuata upande unaocheza.
♫ ✦
SAUTI NA EFFECTSMtetemo unapatikana kwenye baadhi ya simu. Sauti huanza baada ya kuwashwa.
COINS ZA MAJARIBIO
AKILI NNE · TANZANIA

Fikiri. Panga.
Unganisha nne.

Weka kete nne za rangi yako kwenye mstari mmoja ili ushinde. Ni rahisi kuanza. Changamoto ipo kwenye hatua unazochagua.

2 Wachezaji4 Kete za kushinda69 Mistari inayowezekana
MLIMA KILIMANJAROTanzania yetu. Mchezo wetu.Picha halisi · Chagua mandhari hapa chini
KABLA HUJAANZA

Jifunze kwa hatua tatu.

CHUKUA MUDA WAKO
01 ↓

Chagua safu.

Bonyeza mshale juu ya bodi. Kete yako itaanguka hadi nafasi ya chini iliyo wazi.

02 ⇄

Pokezaneni zamu.

Wewe unaweka kete moja, kisha mwenzako anaweka yake. Rangi zenu ni zambarau na dhahabu.

03 ✦

Unganisha nne.

Weka nne mlalo, wima au mshazari. Bodi ikijaa bila mshindi, mchezo unaisha kwa sare.

ANGALIA PICHA HIZI

Hivi ndivyo
unavyoshinda.

Chagua aina ya mstari uone mfano. Kete zinazong'aa ndizo nne zilizoungana.

Kete nne zimepangwa mlalo kwenye mstari mmoja.
Kete zako Kete za mwenzako
AKILI NNE / PLAY TANZANIA
MLALONNE ZIMEUNGANA ✓
SASA JARIBU WEWE

Utabonyeza safu ipi?

Una kete tatu za zambarau chini. Weka ya nne ukamilishe mstari.

Bonyeza mshale juu ya bodi ndogo.

JENGA MBINU ZAKO

Ongeza nafasi yako ya kushinda.

◎

Anza katikati.

Safu ya katikati inakupa njia nyingi za kujenga mstari. Bado utahitaji kuangalia hatua za mwenzako.

⛨

Zuia kabla hajamaliza.

Mwenzako akiwa na kete tatu zinazoweza kuwa nne kwa hatua moja, ziba nafasi hiyo.

⑂

Tengeneza njia mbili.

Jenga nafasi mbili tofauti za kuunganisha nne. Mwenzako anaweza kushindwa kuzizuia zote kwa hatua moja.

NAFASI ZA KUSHINDA ZIKOJE?

Njia nyingi.
Ushindi unategemea hatua.

Bodi hii ina nafasi 69 tofauti za mstari wa kete nne: 24 mlalo, 21 wima na 24 mshazari. Hizi ni nafasi za mistari, si asilimia ya kushinda.

Hakuna asilimia moja ya kukuhakikishia ushindi. Matokeo yanategemea kete zilipo, zamu na hatua mnazochagua.

24↔ Mlalo
21↕ Wima
24↗ ↘ Mshazari
KARIBU TANZANIA

Chagua mandhari ya mchezo wako.

Sasa uko tayari.

Anza na mazoezi, au mkaribishe rafiki mcheze online.

Coins na ada za majaribio zinafanyaje kazi?

Hesabu ziko wazi.

Coin moja ni TSh 500 kwenye hesabu. Coins zote hapa ni za majaribio; hakuna pesa halisi zinazotumwa.

Ada ya kuingia inakatwa mara moja. Mshindi anapokea dau lote, likiwa na dau lake mwenyewe. Sare hurudisha dau kwa kila mmoja.

STUDIO YA KETE

Vito. Bidhaa.
Muonekano wako.

Chagua vitu vya kuchezea, andika jina au weka logo yako. Mabadiliko yanaonekana moja kwa moja.

Upande wanguMwenzangu
3D

Vitu vinatumia rangi ulizochagua. Logo na maandishi yako vinahifadhiwa kwenye kifaa hiki.

PNG, JPG au WebP · hadi MB 3. Chagua preset kwa rangi na jina, au pakia logo halisi unayotaka.
GENZ GAMES · PLAY TANZANIA

Afcon Penalts in Tanzania

GENZ GAMES · FOOTBALL STUDIO

Timu na wachezaji

TANZANIA · MINERALS

Jumba la Madini

GENZ GAMES · OFFLINE

Wawili · kifaa kimoja

ZAMU INAYOFUATA

GENZ GAMES · ONLINE

Mkaribishe mpinzani.

Inaunganisha…

Ingia kwenye akaunti yako kuona wachezaji na kucheza ukiwa mbali.